Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
text
string
Ikiwa ni wiki chache toka kesi ya video vixen Agnes Gerald a.k.a Masogange ya kutuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kuisha kwa kulipa faini nchini Afrika Kusini na kuwa mtu huru, hatimaye jana Jumanne amerejea nyumbani Tanzania Udaku Special Kupitia Instagram jana Agnes alipost picha (hapo juu) akiwa uwanja wa ndege n...
MASTAA wa Yanga, Khalidi Aucho na Fiston Mayele, hawatakuwa sehemu ya mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Taifa Jang’ombe na kwamba wataunguruma dhidi ya KMKM kesho kutwa Ijumaa. Aucho ameshindwa kusafiri na kikosi hicho kufuatia kuomba ruhusa ya kwenda kwao Uganda kwa ajili ya kuiona familia yake, huku Fiston...
Kuhusu SHEY27 Psychic SHEY27 ina uzoefu wa miaka 5-10 kutumia uzoefu wa akili kusaidia wengine na kupata majibu ya maswali yao ya kibinafsi. Psychic SHEY27 hivi karibuni imewasaidia washiriki wa 0 na usomaji wa kisaikolojia na ufunuo wa anga katika Oranum. Ushuhuda hapa chini unaonyesha kile wengine wamesema juu ya usa...
11.6 kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; 11.7 na yule wa ndani amjibu akisema, usinitaabishe; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala kitandani mimi na watoto wangu; siwezi kuondoka nikupe?
binadamu na kumbadilisha hisia ni dawa za kulevya Kongo yatoa ushahidi Baba alikuja kwa ndege meusi kuliko jike Muonekano wa mabaka haya ndio huweza kuwatofautisha twiga hawa na jamii Nataka kumtongoza msichana huyo
Rechercher des livres Displaying 1 - 1 of 1 Assessing the Evidence: Climate Change and Migration in the United Republic of Tanzania Executive Summary (Swahili)Kutathmini ushahidi: Mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji katika jamhuri ya muungano wa Tanzania This summary brief in Swahili accompanies the English-language p...
Tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Tanga. Zipo blogu za aina mbalimbali. Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti. Hadithi inaanza nyuma ya kilima, kilichopo kwenye msitu wakati wa kipindi cha baridi.
•Darleen alipuuzilia mbali madai kuwa aligura ndoa yake baada ya kuwa na uhusiano mbaya na mke mwenza. •Hali halisi ya ndoa ya Darleen inatatanisha kwani anadai kuwa hajui kuhusu msimamo wa mumewe Isihaka. Siku ya Jumatano, dadake Diamond Platnumz, Queen Darleen alitangaza uamuzi wake wa kugura ndoa yake na Bw Isihahak...
Sinema wizi vifaa Nida, Mbunge CCM adaiwa kuibiwa mil.440, Dk. Shein akoleza kasi safari ya kumaliza kero ya maji Zanzibar, Changamoto shule zikifunguliwa, Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yapaa, Sakata la korosho lakwamisha watoto 1,695, Muhimbili-Mloganzila yafafanua idadi ya vifo kitakwimu, Vigogo mashirika 50 matumbo mo...
Sanamu la mshambuliaji wa klabu ya AC Milan Zlatan Ibrahimovic lililopo nje ya uwanja wa klabu yake ya zamani iliyomlea Malmo huko chini Sweden lakatwa hadi kuanguka chini. Sanamu hiyo, awali lilikatwa pua baada ya Ibrahimovic kuwekeza katika klabu pinzani mnamo mwezi Disemba. Uharibifu huo uligunduliwa saa 3.30 asubuh...
Comi JF-Expert Member - Joined - Oct 2, 2011 - Messages - 3,335 - Points - 1,500 Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae? Mawasiliano yanaweza kuwepo lakini si ya mara kwa mara, mara kwa mara kwa...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lilisema kwamba waasi wa Vuguvugu la Ishirini na tatu, walipata msaada kwa jeshi la Rwanda" wigi na hata bango dogo la rangi ya zambarau
Douche yetu ya uke nyeupe ya 5 oz / 150 ml imetengenezwa kutoka LDPE kwa ulaini bora na kubana. Mwili wa chupa ni mviringo kwa rangi ya asili na laini sana. Inafaa kwa wanawake kutumia. Inaweza kufungwa kwa kujitegemea ili kudumisha usafi na kukupa uzoefu mzuri wa kujisikia na athari ya kuonyesha rafu. Ukuta wa chupa u...
Kwa dhati kabisa, simuoni mgombea wa akina Polepole kuwa na uwezo wa kukabili changamoto hizo. Ndio maana inabidi kurudi kwa Polepole kumuomba awajibu Wazanzibari masuala ya msingi. Maana yeye anayejinadi kuwa ataleta maendeleo ndiye kikwazo cha mwanzo cha mgombea wao. Najiuliza: hivi tukifika Oktoba 28 na Maalim Seif ...
Mheshimiwa Spika, Mradi wa Kuboresha Miji ya Kimkakati Tanzania (Tanzania Strategic Cities Project -TSCP ) unatekelezwa na Serikali kwa mkopo kutoka Benki ya Dunia (IDA Credit) kupitia mpango maalum wa utoaji fedha uitwao Specific Investment Loan (SIL)
Awamu ya Pili: Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme kutoka Ny akanazi hadi Kigoma kV 400 59. Mheshimiwa Spika, awamu hii itahusu ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa
Kundi la pili lilitoka bondeni na hawa walikuja na sifa zao hugubikwa na mambo mengi ya nje na ndani ya uwanja Dalili nyingi huchanganyika na ishara zingine Kwa mujibu wa historia wabena wana uhusiano wa karibu na koo za makabila mengine
Michezo - Tamasha la Magari Kufanyika Leaders Club Dar…! - NSSF Yadhamini Mechi ya Simba na Ndanda FC Baadhi ya mashabiki wakishhudia mchezo huo. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupitia mpango wake wa wakulima Scheme imedhamini... - TFF Kufunza Wadau Matumizi Tiketi za Elektroniki SHIRIKISHO la Mpira wa Mig...
Pamoja na muundo wa ubunifu, rangi utakazochagua kuchapisha biashara yako zitashirikisha wateja wako. Zitakuwa rangi unazotumia kubuni nembo yako, kujenga tovuti yako, kubuni dhamana yako ya uuzaji, na labda hata kupamba eneo lako la matofali na chokaa. Chaguo la rangi ya chapa ni muhimu zaidi sasa kuliko wakati wowote...
Uongo! Nicola Traldi Anajibu Madai ya Jeuri ya Eric Omondi na Miss Chanty Nicola Traldi, mpenzi wa aliyekuwa mpenzi wa mcheshi Eric Omondi kutoka Italia Chantal Grazioli amejibu madai ya unyanyasaji wa kinyumbani na mcheshi huyo. Kupitia safu ya machapisho kwenye hadithi zake za Insta, Nicola Traldi alisema aliandaliwa...
Liwali wa jimbo la Kivu ya kaskazini Jenerali Constant Ndima ameahidi ma mia ya vijana walio ondoka ndani ya kundi zenyi kumiliki silaha, kufikisha malalamiko yao kwenyi tabaka za juu. Ni vijana wenyi kupatikana ndani ya kempi ya Mubambiro karibu miaka tano sasa, wakingojea huduma ya serkali. « Kuvumilia mingi inaleta ...
Na CHARLES WASONGA MAAFISA zaidi 20 wa Idara ya Usajili wa Watu ambao walikamatwa Ijumaa kwa kushiriki ufisadi katika utoaji vyeti vya kuzaliwa na vya vifo katika makao makuu ya idara hiyo Jumatatu watafikishwa mahakamani kufunguliwa mashtaka. Maafisa hao, ambao wanajumuisha mameneja wa idara mbalimbali katika ofisi hi...
Mpaka wa Afghanistan na Pakistan kumoto Umoja wa Mataifa umeonya juu ya janga jipya liloanza upande wa Pakistan kwenye mpaka wake na Afghanistan, mpaka wenye mzozo. Katika miezi michache iliyopita kumezuka mapigano tena mpakani baina ya wanajeshi wa Afghanistan na Pakistan. Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia...
Babu Owino akamatwa tena baada ya kuachiliwa kwa dhamana Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu babu owino amekamatwa upya muda mfupi baada ya kuachiliwa kwa dhamana na mahakama ya Milimani. Owino amekamatwa nje ya majengo ya mahakama hiyo baada ya kuachiliwa kwa dhamana kwa mashtaka ya kuidhalilisha afisi ya...
Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki hisa katika kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania yameanza rasmi leo tarehe 12 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo kamati iliyoundwa n...
Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko katika Salam na matashi mema kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema mara baada ya katekesi yake, Jumatano tarehe 12 Agosti 2020, amewakumbusha kwamba, Maandiko Matakatifu yanafundisha kwamba, Mwenyezi Mungu amemuumba mwanadamu kwa upendo wake ...
Suala la waajiriwa kutopata ufadhiri ni kutaka kuendeleza lile wimbi la watoto wa wakulima wa kigoma kutosoma. mfano mimi hapa nmeanza kazi ya ualimu mwaka 2004. mshahara wa mkononi hadi sasa ni sh 200000/= nikajisomeshe chuo kiku, si vichekesho. wakati huo unakumbana na maafisa km Bitwye, Kabanga na wengineo wa wilaya...
Kaunti ya Narok ndio mwenyeji wa awamu ya 42 ya michezo ya Kenya Communications Sports (KECOSO).Michezo hiyo ambayo imeandaliwa katika uga wa Ole Ntimama imeng’oa nanga hii leo na itakamilika tarehe 26 mwezi huu wa agosti. Kulingana na katibu mkuu wa KECOSO Omole Asiko, baraza tawala lilichagua Narok kwa kuzingatia vig...
Aliteuliwa kuwa msaidizi binafsi wa Rais wa Zanzibari Aboud Jumbe Makumbusho haya yana vilele vitano ambavyo vinabeba majina makubwa Wameambukizwa virusi vya homa ya ini B wengi wao hupona baada ya miezi michache
Lina Plat mbili za kupikia Tunatengeneza na kuuza KitchenCabnet na tunapokea oda za mitindo mbalimbali. Tunauza per quare meter. Tupo Wazo Industrial Area Tegeta kitup cha DAWASCO. Available at affordable price Available in various size and design PRICE CONTACT THE SELLER Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa...
Madhumuni ya MOOC hii ni kuwasilisha robotiki katika nyanja zake tofauti na maduka yanayowezekana ya kitaaluma. Kusudi lake ni uelewa mzuri wa taaluma na taaluma za roboti kwa nia ya kusaidia wanafunzi wa shule ya upili katika mwelekeo wao. MOOC hii ni sehemu ya mkusanyiko uliotolewa kama sehemu ya ProjetSUP. Yaliyomo ...
- Mbunge wa Tiaty aliponea kifo chupu chupu baada ya wezi wa mifugo wa Pokot kujaribu kumlinga kwa mshale - Asman Kamama alikuwa amezuru eneo la Churo kaunti ya Baringo Kusini wakati wa shambulizi hilo Mbunge wa Tiaty, Asman Kamama alinusurika kifo Jumamosi, Februari 25, baada ya washukiwa wa wizi wa mifugo wa Pokot ku...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo (CDF) amesema majeshi yamejipanga kukabiliana na vitendo vya uchochezi vinavyohatarisha usalama wa nchi. Jenerali Mabeyo ametoa kauli hiyo leo tarehe 13 Aprili 2019, wakati akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Rais, Chamwino jijini Dodoma...
- Mwanzo - Kuhusu Sisi - Utawala - Muundo - Idara - Vitengo - Fursa za Uwekezaji - Huduma Zetu - Madiwani - Miradi - Machapisho - Kituo cha Habari RAS PWANI ARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO KISARAWE Kisarawe PWANI. Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Ndugu RASHIDI MCHATTA amefanya ziara ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendel...
MTUME PAULO VS MUHAMMAD MUHAMMAD HANA UBAVU MBELE YA MTUME PAULO KULINGANA NA MAANDIKO. TUWAPIME HAWA JAMAA WAWILI. Waislam wanamlaumu na kumtukana sana mtume Paulo kwa madai eti ni mtume wa uongo na mchafuzi wa maandiko, na kwamba ndiye aliyemwita Bwana Yesu Mungu na ndiye mwanzilishi wa Ukristo nk. Hizo hoja zote zit...
Ni mtunzi muhimu kabisa kwa nchi ya Poland. Vazi hili lilikuwa la wanaume katika tamaduni nyingi. Mwanamke kuwa farao ilikuwa nadra, hata hivyo. Familia hii hapo awali ilikuwa na wanyama wengi kiasi.
badala yake amesema kiongozi huyo anajihusisha na masuala yanayotokana na sera za chama cha mapinduzi yasiyokuwa na tija kwa taifa alisema kutokana na hali hiyo wananchi wanatakiwa kuzinduka ili kuleta mabadiliko kwa kuchagua viongozi wanaofaa katika chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani kwa kuwa hatima...
Waingereza walichukua utawala wa koloni mwaka elfu moja mia tisa na kumi na nane Mlima kilimanjaro ni volkeno ya rusu Walikuwa wakivutiwa na utangaziji wake hasa katika kipindi cha kruzi
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dastani Kyobya ameutaka uongozi wa manispaa ya Mtwara Mikindani kuwa na mkakati wa kuongeza vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Naliendele ambayo inawanafunzi zaidi ya elfu moja na miambili. Kyobya amesema hayo baada ya kutembelea shule ya msingi Naliendele kujionea maendeleo ya shule hi...
nimekaa chini nikafikiria nikaona ninahitaji ushauri wa wadau kundini...mimi nna msichana wangu anayesoma chuo kimoja maarufu...siku tulitoka yeye na rafiki yake club kurud hostel nami nikalala chumba chao..sasa kwasababu ya pombe usiku wakati nado na dem wangu rafiki yake akaja na dem wangu akaniomba eti ajoin(3some)....
Wakati mwingine inaonekana kama hakuna mwisho wa habari mbaya kwenye milisho ya mitandao ya kijamii. Ajali za ndege na majanga mengine, ahadi zisizotekelezwa na wanasiasa, kupanda kwa bei na hali mbaya ya kiuchumi… Inaweza kuonekana kuwa jambo la busara zaidi ni kufunga Facebook kwa urahisi na kurudi kutoka ulimwengu p...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la michezo (sports bonanza) la uzinduzi wa michezo ya SHIMIWI litakalowashirikisha Watendaji Wakuu wa Serikali na watumishi wa umma litakalofanyika siku ya jumamosi Agosti 24 mwaka huu majira ya saa moja asubuhi katika Uwanja wa Taifa ...
ayubu: mlango 13 1 tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, sikio langu limeyasikia na kuelewa nayo. 2 hayo myajuayo ninyi, na mimi pia nayajua; mimi si duni kuliko ninyi. 3 hakika ningenena naye huyo mwenyezi, nami nataka kuhojiana na mungu.
Mataifa mengine mengi yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda vikundi vinatakiwa kutilia mkazo katiba iliyotungwa Jacob alitoka chumbani haraka kushuka chini kutumia lifti na alipishana na wale jamaa hawakumuona wote wako sawa hakuna kitu yaani wanasaidia
Simba leo tunapindua, matokeo, hakika tutawashangaza hatoki mtu Leo. kwa mchina ni machinjioni kwa yeyote anaye karibishwa tulianza na Swaziland mbane, akafuata nkana akaja mwarabu js soura toka Algeria, Eee yarabi tunakuomba siku ya Leo, tusamehe pale pote tulipokosoea utusaidie tuweze kurudisha magoli yote, kama uliv...
Wiki iliyopita, Tanzania iliongeza bei ya mafuta katika vituo vya kuuzia mafuta kwa zaidi ya asilimia kumi na moja kwa bidhaa ya petroli na dizeli kuna uhuru wa vyombo vya habari
Waalimu wa uvira na Fizi,mkoani kivu kusini mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,watishia mgomo iwapo hawatalipwa mishahara yao katika muda mwafaka. waalimu hao wanaliomba shirika la kikatoliki CARITAS Uvira lihusikalo na kulipa waalimu eno hilo,kuwalipa pesa zao huku waalimu hao wakisema kuna njama kati ya ...
Majira ya kiangazi hiki, le Tribunal Arbitral du Sport (TAS) a constamment fait la une des journaux. Kwa kweli hukumu ya skier Martin Sundby kwa doping, la procédure de suspension de Maria Sharapova (ancienne numéro 1 mondiale russe de Tennis), l’affaire Sepp Blatter (ancien président de la FIFA) ou encore toutes les p...
Makundi kadhaa ya uchunguzi, kwa mfano. Maeneo ya mpaka wa Tanzania kuna pia wasemaji kadhaa huko Malawi na Zambia. Ukame huleta njaa. Iko katika kusini ya Uswidi. Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.
- Mbunge wa Kimilili alijitolea kupeana magari yake binafsi kwa maafisa wa polisi ili waweze kuyatumika katika kufanya msako na kuimarisha usalama - Hii ni baada ya wakazi wa kijiji cha Kamukuywa kuandamana wakilalamikia kuhusu ukosefu wa usalama katika eneo hilo - Wenyeji wa kijiji jirani cha Mahongwe waliripotiwa kuv...
SANAA,YEMEN SPIKA wa Bunge la Yemen amesema kuwa uhalifu unaofanywa na Saudi Arabia na washirika wake nchini humo pamoja na kuendelezwa muungano wa nchi hiyo haviwezi kuhalalishwa kwa njia yoyote ile. Mohammed Hussein al-Aidarous aliwatumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Antonio Guterres na mjumbe wa umoja huo k...
Je wafanyakazi wote pahali pako pa kazi wamepewa mafunzo maalum?
JUMLA ya watoto 400 wa Skuli ya Maandalizi ya Kidutani wamepatiwa huduma ya upimaji wa afya ili kuhakikisha wanakuwa na afya njema. Zoezi hilo lililofanyika skuli hapo, liliendeshwa na timu ya Madakari wa Kujitolea kutoka China ambapo watoto hao walipatiwa uchunguzi tofauti ikiwemo upimaji wa macho, masikio, vinywa na ...
wa aina hii, ujambazi na vitendo vyenye mwelekeo wa ugaidi; na (vi). Kuendelea k ushirikiana na Mataifa mengine na Asasi za Kimataifa katika kupambana na mak osa yanayovuka mipaka (cross border crimes) hasa ugaidi,
Nilikutana naye katika kazi yangu Jinsi gani mimi kujua kama guy Mexican ni nia ya dhati kwangu na si tu kwa sababu mimi ni nyeupeYeye ni kutoka Mexico lakini wakiongozwa na Amerika ya miaka michache iliyopita kwa ajili ya kazi. Rafiki yake ya kwanza. Katika maisha yangu ya zamani dating uzoefu wangu katika s, mimi sas...
MWANZA: JESHI la Polisi mkoani Mwanza limeanza msako wa kuwatafuta wahalifu waliojichukulia sheria mkononi kwa kuwaua watu wawili kwa kuwashambulia kwa mawe na silaha za jadi wakiwatuhumu kuiba gunia moja la mpunga. Akizungumza na waandishi wa habari mapema Oktoba 31 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo Wilbroad Mtaf...
Alifariki mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na moja Washindi wengine walifuata siasa ya Kidemokrasia pamoja na Uchumi wa kujitegemea Koloni lilifunguliwa kwa biashara ya nje mwaka elfu moja mia nane thelathini na moja
Timu ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki, IAEA ilizuru mtambo mkubwa zaidi barani Ulaya ili kupunguza hofu ya uwezekano wa kutokea janga. Wengi wa wakaguzi hao walimaliza kazi zao huku wakaguzi wawili wakisalia kwenye mtambo wa Zaporizhzhia nchini Ukraine jana Jumatatu. Mashambulizi makali ya makombora hayaja...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang alipojibu swali kuhusu baraza la usalama wa Umoja wa Mataifa kupitisha azimio namba 2375 kuhusu majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini, amesema China inaunga mkono baraza la usalama kuchukua hatua zinazohitajika. Msemaji huyu amesema Korea Kaskazini imefanya m...
•Matendo ya hivi majuzi ya Akothee kwenye mitandao ya kijamii yamewaacha wanamitandao wakikisia huenda kuna tatizokwenye ndoa yake na Denis ‘Omosh’ Shweizer. Mwanamuziki na mjasiriamali mashuhuri Esther Akoth almaarufu Akothee amekuwa akivuma katika kipindi cha siku mbili zilizopita baada ya kufunguka kuhusu masaibu ya...
na kuonesha uandaaji wa mipangokina unazingatia mipango kabambe. Aidha, mpango kabambe wa Manispaa ya Kigamboni umehuishwa kwenye mpango kabambe wa jiji la Dar es salaam ( Jedwali Na. 15 ).
•Mutunga alidai kuwa mkewe alibadilika na kusitisha uhusiano baada ya kudanganywa kwamba aliaga katika ajali iliyotokea mwezi Oktoba. •"Alisema amemtuma kaka yake aendee kiberiti na akasema nisimtumie sms. Si wakati huo ndio akakufa," Angeline alisema. Vincent Mutunga ,24, alituma ujumbe akiomba kupatanishwa na mke wak...
Na MASHIRIKA KOCHA Antonio Conte ametaka mashabiki kutarajia makuu zaidi kutoka kwa Tottenham Hotspur muhula huu baada ya kikosi chake hicho kukomoa Southampton 4-1 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Jumamosi. Spurs walijinyanyua upesi baada ya Southampton kuwekwa kifua mbele na James Ward-Prowse. Kikosi hicho ki...
Sehemu za upangishaji wa likizo huko Parintins Pata na uweke nafasi kwenye malazi ya kipekee kwenye Airbnb Sehemu maarufu za kukodisha wakati wa likizo mjini Parintins Wageni wanakubali: sehemu hizi za kukaa zimepewa makadirio ya juu kwa upande wa mahali, usafi na zaidi. Mwenyeji Bingwa Nyumba ya shambani huko Parintin...
Sio tu kwamba mazoezi ya gharama ya chini ya huduma ya afya, pia hupunguza hatari ya magonjwa. Zoran Pucarevic / Shutterstock Mazoezi ni mazuri kwa afya yako katika kila umri - na unaweza kupata faida hata iweje kuchelewa maishani unaanza. Lakini utafiti wetu wa hivi karibuni umeonyesha faida nyingine ya kuwa hai kimwi...
Shutterstock Nina swali juu ya malipo ya magari ya umeme. Ninaelewa New Zealand sio 100% ya kutosha katika nishati mbadala (karibu 80%, iliyoongezewa na 20% inayozalishwa kwa vituo vya makaa ya mawe). Ikiwa ningenunua gari ya umeme inaongeza kwenye mzigo kwenye gridi ya taifa. Je! Njia pekee ambayo tunaweza kuongeza ng...
AIBU: MWANAUME AFUMANIWA NA MKE WA MTU GESTI AKIWA UCHI WA MNYAMA Habari kamili zilizonaswa na waandishi wetu ni kwamba mwanaume aliyetajwa kwa jina la Baba Asha alidai kumfumania rafiki yake wa karibu, Baba Tony akiwa gesti na mkewe (jina linahifadhiwa), tayari kwa kuvunja naye amri ya sita. Tukio hilo la aibu ya mile...
•Mwanamume mmoja na mwanawe ambao waliwatupia kinyesi maafisa wa polisi wamekiri mashtaka ya kuzuia kukamatwa. •Baada ya kukiri mashtaka , hakimu aliagiza warudishwe rumande hadi Oktoba 24 wakati kesi dhidi yao itakapoendelea. Mwanamume mmoja na mwanawe ambao waliwatupia kinyesi cha binadamu maafisa wawili wa polisi ny...
End of preview. Expand in Data Studio

swahili-language-exposure

Dataset Summary

swahili-language-exposure is a large-scale Swahili (Kiswahili) corpus designed for language exposure and continued pretraining of language models.

Unlike instruction-tuning datasets, this dataset focuses on exposing models to natural Swahili usage across conversations, explanations, narratives, technical discussions, and mixed-domain text. The goal is to improve fluency, vocabulary coverage, syntax, and cultural grounding in Swahili.

This dataset is developed and maintained by NileAGI.


Dataset Purpose

This dataset is intended for:

  • Continued pretraining (DAPT / CPT)
  • Language exposure before instruction tuning
  • Improving Swahili fluency and coherence
  • Reducing English dominance in multilingual models
  • Low-resource language research

It is not optimized for instruction-following by default.


Dataset Format

The dataset is provided in JSON Lines (.jsonl) format.

Each line contains a single Swahili text sample, without enforced instruction–response structure:

{
  "text": "Maudhui ya asili kwa Kiswahili yaliyoandikwa au kuzungumzwa katika mazingira halisi."
}

Example

{"text":"Nilikuwa najifunza kuhusu mitandao ya neva na jinsi inavyotumika katika utambuzi wa picha, lakini changamoto kubwa ilikuwa kupata data iliyosawazika."}

Supported Tasks

  • Language modeling
  • Text generation
  • Conversational fluency improvement
  • Vocabulary and grammar learning
  • Domain adaptation for Swahili
  • Foundation training for downstream fine-tuning

Language

  • Swahili (Kiswahili) — primary language (sw)
  • Natural code-switching with English technical terms may appear
  • Informal and semi-formal registers are both present

Data Sources

The dataset was curated from:

  • Educational explanations and mentoring sessions
  • Informal dialogues and narrative text
  • Mixed-domain Swahili content reflecting real usage

All data has been anonymized and cleaned.


Data Preprocessing

The following preprocessing steps were applied:

  • Filtering of extremely short or low-quality text
  • Normalization of whitespace and encoding
  • Preservation of natural language flow and code-switching

No artificial instruction templates were added.


Intended Use

Primary Use

  • Continued pretraining (CPT/DAPT) for Swahili
  • Language exposure before instruction tuning
  • Improving multilingual model balance

Secondary Use

  • Linguistic analysis
  • Swahili NLP benchmarking
  • Data augmentation for low-resource research

Out-of-Scope Uses

This dataset is not intended for:

  • Direct instruction fine-tuning (see companion instruct dataset)
  • Preference learning or RLHF
  • Surveillance, profiling, or harmful content generation

Biases and Limitations

  • Informal conversational Swahili is more common than formal prose
  • Technical domains may be overrepresented
  • Regional phrasing reflects contributor backgrounds

Users should consider complementary corpora for broader coverage.


Ethical Considerations

  • Personally identifiable information has been removed or masked
  • No sensitive personal attributes are intentionally included
  • Released strictly for responsible AI research

License

This dataset is released under the MIT License.


Citation

If you use this dataset, please cite:

@dataset{swahili_language_exposure,
  title = {swahili-language-exposure: A Swahili Language Exposure Dataset},
  author = {NileAGI},
  year = {2026},
  publisher = {Hugging Face}
}
Downloads last month
56